Nenda kwa yaliyomo

Mariateresa Di Lascia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mariateresa Di Lascia

Mariateresa Di Lascia (3 Januari 1954 – 10 Septemba 1994) alikuwa mwanasiasa na mwandishi, mwanaharakati, mfuasi wa haki za binadamu na mtetezi wa kutotumia nguvu wa Italia.

Lascia alizaliwa huko Rocchetta Sant'Antonio, Italia. Alienda chuo kikuu katika Chuo Kikuu cha Naples . Alikuwa akisomea Udaktari kwa lengo la kuwa mmisionari wa kawaida. Hata hivyo ndani ya miaka mitatu alijihusisha sana na harakati zake za kisiasa hadi akaacha chuo kikuu. [1]

  1. "Mariateresa Di Lascia: libros y biografía autora". Lecturalia. 2019-12-22. Iliwekwa mnamo 2019-12-22.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mariateresa Di Lascia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.