Nenda kwa yaliyomo

Mariano De Nicolò

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mariano de Nicolò (22 Januari 193211 Aprili 2020) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Italia.

De Nicolò alizaliwa Cattolica, Italia, akapadrishwa mwaka 1955. [1]

  1. "9 aprile 1955 - 9 aprile 2005: 50 anni di sacerdozio per il Vescovo Mariano". Newsrimini (kwa Italian). 9 Aprili 2005. Iliwekwa mnamo 12 Aprili 2020.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.