Nenda kwa yaliyomo

Mariano Crociata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mariano Crociata (alizaliwa 16 Machi 1953) ni askofu wa Dayosisi ya Latina-Terracina-Sezze-Priverno tangu tarehe 19 Novemba 2013.

Kabla ya hapo, aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki wa Italia (CEI), akiwa wa kwanza kutoka dayosisi ya kusini mwa Italia kushika wadhifa huo. Pia aliwahi kuwa Askofu wa Noto.

    Makala hii bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.