Nenda kwa yaliyomo

Marian Jaworski

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marian Franciszek Jaworski (21 Agosti 1926 - 5 Septemba 2020) alikuwa Kardinali Kuhani na Askofu Mkuu wa Lviv wa Madhehebu ya Kilatini katika Kanisa Katoliki. Alijulikana kwa urafiki wake wa karibu na Papa Yohane Paulo II.[1]

  1. "Pope Francis sends condolences on the death of Cardinal Jaworski". Vatican News. 8 Septemba 2020. Iliwekwa mnamo 8 Septemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.