Nenda kwa yaliyomo

Maria do Carmo Silveira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maria do Carmo Trovoada Pires de Carvalho Silveira (alizaliwa 14 Februari 1961) alihudumu kama Waziri Mkuu wa 13 wa São Tomé na Príncipe kuanzia 8 Juni 2005 hadi 21 Aprili 2006.[1]

Elimu na Historia

[hariri | hariri chanzo]

Alisoma uchumi katika Donetsk National University (Ukraine), na baadaye akapata Shahada ya Uzamili (Master of Public Administration) kutoka Shule ya Taifa ya Utawala huko Strasbourg[2]. Alikuwa gavana wa tatu wa Benki Kuu ya São Tomé and Príncipe kuanzia 1999 hadi 2005, akichukua nafasi ya Carlos Quaresma Batista de Sousa na baadaye akachukua nafasi ya Arlindo Afonso Carvalho. Alirudi tena kuwa gavana wa sita wa benki hiyo kuanzia 2011 hadi 2016, akichukua nafasi ya Luís Fernando Moreira de Sousa.[3]

Waziri Mkuu

[hariri | hariri chanzo]

Alihudumu kama Waziri Mkuu na Waziri wa Mipango na Fedha wa São Tomé and Príncipe kuanzia 8 Juni, 2005 hadi 21 Aprili, 2006.

  1. "At-a-glance: Women Prime Ministers". SBS News. 23 Ago 2013. Iliwekwa mnamo 2014-08-04.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Maria do Carmo Silveira". www.cplp.org. Iliwekwa mnamo 2019-12-02.
  3. "Banco Central de S.Tomé e Príncipe". www.bcstp.st.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maria do Carmo Silveira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.