Maria Troncatti
Mandhari
Maria Troncatti (Corteno, Italia, 16 Februari 1883 – Sucua, Ekuador, 25 Agosti 1969) alikuwa bikira wa Lombardia, Italia Kaskazini, aliyejiunga na Mabinti wa Bikira Maria Msaada wa Wakristo[1] akatumwa kama mmisionari kwa Waindio wa msituni tangu mwaka 1922 hadi kifo chake [2][3] [4].
Alitangazwa mwenye heri na Papa Benedikto XVI tarehe 24 Novemba 2012, halafu mtakatifu na Papa Leo XIV tarehe 19 Oktoba 2025[5].
Sikukuu yake hufanyika tarehe ya kifo chake.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Venerable Maria Troncatti (1883-1969)" (PDF). Salesian Sisters of Don Bosco. 2011. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 26 Agosti 2011. Iliwekwa mnamo 11 Julai 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Blessed Maria Troncatti". Saints SQPN. 15 Aprili 2015. Iliwekwa mnamo 11 Julai 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Blessed Maria Troncatti - Mamacita to the Savages". Island life - in a monastery. 23 Novemba 2012. Iliwekwa mnamo 11 Julai 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/90100
- ↑ "Pope Leo XIV canonizes 7 new saints, including first from Venezuela and Papua New Guinea". Catholic News Agency. 2025-10-19. Iliwekwa mnamo 2025-10-19.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |