Nenda kwa yaliyomo

Maria Luisa Spaziani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maria Luisa Spaziani (Torino, 7 Desemba 1922 – Roma, 30 Juni 2014) alikuwa mshairi na mtafsiri kutoka nchini Italia. Alikuwa mmoja wa washairi mashuhuri wa kike nchini Italia katika karne ya 20 na aliteuliwa mara tatu kuwania Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maria Luisa Spaziani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.