Maria Danilova
Mandhari
Maria Danilova (1793 – 1810) alikuwa mnenguaji wa baleti wa Urusi.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Danilova alijiunga na shule ya St. Petersburg akiwa na umri wa miaka minane. Mkufunzi Charles-Louis Didelot alitambua kipaji chake, na alionekana kwa mara ya kwanza mbele ya hadhara mwaka mmoja baadaye.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maria Danilova kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |