Maria Altmann
Mandhari
Maria Altmann | |
![]() Altmann at her home in Los Angeles | |
Amekufa | 7 Februari 2011 |
---|---|
Nchi | Austria |
Maria Altmann (jina la kuzaliwa Maria Victoria Bloch, baadaye Bloch-Bauer; 18 Februari 1916 – 7 Februari 2011) alikuwa mkimbizi Myahudi wa Austria mwenye uraia wa Austria na Marekani, aliyekimbia nchi yake baada ya kuunganishwa na Dola ya Tatu ya Wanazi. Anajulikana kwa kampeni yake ya kisheria iliyofanikiwa kurejesha kutoka kwa Serikali ya Austria michoro mitano ya familia yake uliochorwa na msanii Gustav Klimt, ambao pia uliibiwa na Wanazi wakati wa Vita vya Pili vya Dunia.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The Accidental Caregiver: How I Met, Loved, and Lost Legendary Holocaust Refugee Maria Altmann: Gregor Collins: 9780985865405: Amazon.com: Books". www.amazon.com. Iliwekwa mnamo 2025-02-01.
- ↑ "Art Stories: Maria Altmann and the Portrait of Adele Bloch-Bauer". Museum of Art (MOA) (kwa Kiingereza). 2018-03-20. Iliwekwa mnamo 2025-02-01.
- ↑ "Maria Altmann: The Real Story Behind 'Woman in Gold'". Biography (kwa American English). 2020-09-30. Iliwekwa mnamo 2025-02-01.
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maria Altmann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |