Margarete Steiff
Mandhari
Margarete Steiff (24 Julai 1847 – 9 Mei 1909) alikuwa mshonaji (seamstress) kutoka Ujerumani. Mwaka 1880 alianzisha kampuni ya Margarete Steiff GmbH, inayojulikana zaidi kama Steiff, kampuni maarufu kwa utengenezaji wa vinyago vya wanyama vilivyojazwa pamba (stuffed animals).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Markham, Stephanie Reed (14 Julai 1985). [(https://www.nytimes.com/1985/07/14/travel/shopper-s-world-steiff-s-lair-for-bears.html) "Shopper's World; Steiff's Lair For Bears"]. The New York Times. sec. 10 p. 12. Iliwekwa mnamo 22 Julai 2023.
{{cite news}}: Check|url=value (help)