Margaret Jacobsohn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Margaret Jacobsohn ni mwanamazingira kutoka Namibia.[1]

Alipewa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mnamo 1993, pamoja na Garth Owen-Smith, kwa juhudi zao juu ya uhifadhi wa wanyamapori vijijini huko Namibia.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Margaret Jacobsohn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.