Nenda kwa yaliyomo

Margaret Dongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Margaret Dongo (alizaliwa Machi 14,1960) ni mwanasiasa aliyejulikana kwa kupinga rushwa na kutetea haki za wanawake nchini Zimbabwe. Katika miaka ya 1970 alikua mmoja wa waliopigana vita vya Ukombozi. Pia, alifanya kazi bungeni na kusaidia kuanzisha Zimbabwe Union of Democrats (ZUD).[1][2][3]

Vita ya Ukombozi

[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 1975, akiwa na umri wa miaka 15, Dongo aliacha shule ya sekondari na kuvuka mpaka kuelekea Msumbiji ili kujiunga na Jeshi la Ukombozi la Wananchi wa Afrika la Zimbabwe (ZANLA).

  1. Sheldon, Kathleen E. (2005). Historical dictionary of women in Sub-Saharan Africa. Lanham, Md.: Scarecrow Press. ISBN 0810853310. OCLC 56967121.
  2. "Margaret Dongo's son dies – Nehanda Radio". Nehanda Radio (kwa American English). 21 Juni 2016. Iliwekwa mnamo 10 Julai 2018.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Sheldon, Kathleen E. (2005). Historical dictionary of women in Sub-Saharan Africa. Lanham, Md.: Scarecrow Press. ISBN 0810853310. OCLC 56967121.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Margaret Dongo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.