Marcos Acuña
Mandhari
Marcos Javier Acuña (alizaliwa 28 Oktoba 1991) ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Argentina anayekipiga kama beki wa kushoto katika klabu ya River Plate inayoshiriki Ligi Kuu ya Argentina, pamoja na timu ya taifa ya Argentina.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "FIFA World Cup Russia 2018: List of Players: Argentina" (PDF). FIFA. 15 Julai 2018. uk. 1. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 11 Juni 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marcos Acuña kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |