Nenda kwa yaliyomo

Marco Vigerio della Rovere

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marco Vigerio della Rovere, O.F.M.Conv. (144618 Julai 1516) alikuwa askofu na kardinali wa Kanisa Katoliki.

Alizaliwa huko Savona mwaka 1446, akiwa mtoto wa Urbano Vigerio na Nicoletta Grosso della Rovere, ambaye alikuwa mpwa wa Papa Sixtus IV [1].

  1. Miranda, Salvador. "VIGERIO DELLA ROVERE, O.F.M.Conv., Marco (1446-1516)". The Cardinals of the Holy Roman Church. Florida International University. OCLC 53276621. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-01-18.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.