Marco Fabián

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marco Fabián
Marco Fabián akiwa uwanjani
Marco Fabián

Marco Fabián (alizaliwa 21 Julai 1989) ni mchezaji wa soka wa Mexico ambaye anacheza klabu ya Ujerumani Eintracht Frankfurt na timu ya taifa ya Mexico.

Fabián ni mhitimu wa klabu ya C.D. Guadalajara ya Vijana yaani Academy. Fabián alichezea timu yake ya kwanza katika klabu ya Apertura mwaka 2007.

Fabián alijiunga na klabu ya Copa Libertadores mwaka 2010. Yeye ndiye mfungaji bora wa wakati wote wa Estadio Omnilife.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marco Fabián kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.