Marcial Mes
Mandhari
Marcial Mes (1949 – 26 Mei 2014) alikuwa mwanasiasa wa Belize na mwanachama wa chama cha umoja wa wananchi. Alichaguliwa kujiunga na bunge mnamo mwaka 1998, akiwakilisha jimbo la uchaguzi la Toledo Magharibi.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Clements' encyclopedia of world governments John Clements - 2005 - Page 60
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marcial Mes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |