Nenda kwa yaliyomo

Marcelino Campanal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Marcelino Vaquero González del Río (anajulikana kama Marcelino Campanal; 13 Februari 193225 Mei 2020) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Hispania aliyekuwa akicheza kama beki.

Alizichezea klabu za Real Avilés CF, Sevilla FC, Deportivo de La Coruña na CD Iliturgi kati ya mwaka 1947 hadi 1969. Pia aliichezea timu ya taifa ya Spain national football team mara 11 katika kipindi cha maisha yake ya soka.[1]

  1. "Farewell to the Legendary Marcelo Campanal". Sevilla FC. 25 Mei 2020. Iliwekwa mnamo 10 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marcelino Campanal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.