Marc Cucurella
Mandhari
Marc Cucurella Saseta (alizaliwa 22 Julai, 1998) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu kutoka Hispania anayekipiga kama beki wa kushoto au beki wa pembeni wa kushoto katika klabu ya Chelsea FC na timu ya taifa ya Timu ya taifa ya Hispania.
Anachukuliwa kuwa mmoja wa mabeki wa kushoto bora zaidi duniani.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ White, Mark (16 Juni 2025). "Ranked! The 10 best left-backs in the world". FourFourTwo. Iliwekwa mnamo 18 Desemba 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "The 25 Best Left Backs in World Soccer — Ranked". Sports Illustrated. 14 Julai 2025. Iliwekwa mnamo 18 Desemba 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marc Cucurella kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |