María Julia Mantilla
Mandhari
María Julia Mantilla García (alizaliwa Julai 10, 1984) ni mwigizaji,mwanadansi, mwanamitindo, mwalimu, na mrembo wa Peru aliyeshinda Miss World mwaka 2004 nchini China.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Miss World". www.missworld.com. Iliwekwa mnamo 2021-05-22.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu María Julia Mantilla kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |