Nenda kwa yaliyomo

María Cáceres

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

María José Cáceres Morales (alizaliwa 11 Juni 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake kutoka nchini Peru anayekipiga katika nafasi ya beki wa kulia.

Anaichezea klabu ya mpira ya Club Universitario de Deportes pamoja na Timu ya Taifa ya Wanawake ya Peru.[1]

  1. "[28/05/2017] Chile-Perú | 12:0". Partidos de la Roja (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 21 Novemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu María Cáceres kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.