Maporomoko ya Soni
Mandhari
Maporomoko ya Soni yanapatikana katika milima ya Usambara kutokana na mto Mkuzu unapoingia mto Bangala karibu na Soni, Wilaya ya Bumbuli, Mkoa wa Tanga, kaskazini mashariki mwa Tanzania[1].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Finke, Jens (26 Novemba 2002). Rough guide to Tanzania. Rough Guides. uk. 351. ISBN 978-1-85828-783-6. Iliwekwa mnamo 31 Machi 2012.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
4°50′48″S 38°20′34″E / 4.84667°S 38.34278°E
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Maporomoko ya Soni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |