Nenda kwa yaliyomo

Maporomoko ya Rusumo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maporomoko ya Rusumo.

Maporomoko ya Rusumo yanatokana na mto Kagera ambao ni mpaka wa Tanzania na Rwanda. Jina linatokana na kijiji jirani, Rusumo, wilaya ya Ngara, mkoa wa Kagera.

Maporomoko ya maji hayo ya mita 15 yana upana wa mita 40.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Maporomoko ya Rusumo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.