Nenda kwa yaliyomo

Mapinduzi ya Rwanda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mapinduzi ya Rwanda (pia yanajulikana kama Mapinduzi ya Kihutu, Mapinduzi ya Kijamii, au Upepo wa Maangamizi[1]; kwa Kinyarwanda: muyaga)[2] kilikuwa kipindi cha vurugu za kikabila kati ya Wahutu na Watutsi kuanzia mwaka 1959 hadi 1961 nchini Rwanda.

Mapinduzi hayo yalishuhudia nchi hiyo ikibadilika kutoka utawala wa kifalme wa Watutsi chini ya mamlaka ya kikoloni ya Ubelgiji hadi kuwa jamhuri huru iliyotawaliwa na Wahutu.[1][3]

  1. 1 2 Gourevitch, Philip (2000). We Wish to Inform You that Tomorrow We Will be Killed with Our Families: Stories from Rwanda (kwa Kiingereza). Picador. ISBN 978-0-330-37121-6.
  2. Prunier, Gérard (1999). The Rwanda Crisis: History of a Genocide (kwa Kiingereza). Fountain Publishers Limited. ISBN 978-9970-02-089-8.
  3. Mamdani, Mahmood (2002-09). When Victims Become Killers: Colonialism, Nativism, and the Genocide in Rwanda (kwa Kiingereza). Princeton University Press. ISBN 978-0-691-10280-1. {{cite book}}: Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mapinduzi ya Rwanda kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.