Nenda kwa yaliyomo

Mapango ya wanyama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mapango ya wanyama (ijulikanayo kama pango la Foggini-Mestikawi au pango la Foggini au pango la Wadi Sura II) ni miamba mikubwa ipatikanayo magharibi kwa jangwa la Misri likiwa na michoro mamboleo kwenye miamba ikiwa na zaidi ya miaka 7,000, pamoja na michoro 5,000.

Eneo la Misri
Mapango ya wanyama