Nenda kwa yaliyomo

Manuel C. Sobreviñas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Manuel Cruz Sobreviñas (7 Aprili 192418 Julai 2020) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Ufilipino.

Alihudumu kama Askofu wa tatu wa Jimbo la Imus kutoka 1993 hadi alipostaafu mwaka 2001.[1]

  1. "About Us". San Felipe Neri Parish (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-04-14.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.