Wilaya ya Temeke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Manisipaa ya Temeke)
Mahali pa Temeke (kijani cheusi) katika mkoa wa Dar es Salaam.

Wilaya ya Temeke ni wilaya mojawapo kati ya 5 za Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania yenye postikodi namba 15000.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 1,368,881 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 1,346,674 [2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-10. Iliwekwa mnamo 2010-10-30. 
  2. https://www.nbs.go.tz
Kata za Wilaya ya Temeke - Tanzania

Azimio | Buza | Chamazi | Chango'mbe | Charambe | Keko | Kibondemaji | Kiburugwa | Kijichi | Kilakala | Kilungule | Kurasini | Makangarawe | Mbagala | Mbagala Kuu | Mianzini | Miburani | Mtoni | Sandali | Tandika | Temeke | Toangoma | Yombo Vituka