Nenda kwa yaliyomo

Mandell Creighton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mandell Creighton (/ˈmændəl ˈkraɪtən/; 5 Julai 184314 Januari 1901) alikuwa mwanahistoria wa Uingereza, kasisi, halafu askofu wa Anglikana.

Mwana wa seremala aliyefanikiwa kaskazini-magharibi mwa Uingereza, Creighton alisoma katika Chuo Kikuu cha Oxford, akijikita katika utafiti wake kuhusu Upapa wa Enzi ya Ufufuo wa Kisanii, na baadaye akawa mhadhiri mwaka 1866.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.