Nenda kwa yaliyomo

Manaka Ranaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Manaka Ranaka
Amezaliwa 6 April 1979
Afrika kusini
Kazi yake Mwigizaji na mwimbaji
Watoto 3

Manaka Ranaka (alizaliwa tarehe 6 Aprili 1979) [1]ni mwigizaji wa Afrika Kusini anayejulikana kwa kucheza nafasi ya uhusika mkuu katika tamthilia maarufu ya muda mrefu Generations: The Legacy.[2]

Mwaka 2000, alicheza kama Nandipha Sithole katika tamthilia ya Isidingo iliyokuwa ikirushwa kupitia kituo cha televisheni cha SABC 3.

Mwaka 2007, alishinda Tuzo ya Filamu na Televisheni ya Afrika Kusini (SAFTA) kama Mwigizaji Bora katika Vichekesho vya Televisheni

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Manaka Ranaka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Home Page". www.thepma.co.za. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-07-13. Iliwekwa mnamo 2025-09-27.
  2. Peris Walubengo (2019-08-16). "Manaka Ranaka Biography: Age, husband, daughter, siblings, Generations, car accident Instagram and net worth - Briefly.co.za". briefly.co.za (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-09-27.