Man with No Name

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Man with no name
(Kiitalia: Uomo senza nome)
muhusika wa Dollars Trilogy
Mwonekano wa kwanza A Fistful of Dollars
Mwonekano wa mwisho The Good, The Bad, and The Ugly
Imechezwa na Clint Eastwood
Maelezo
Majina ya utani "Joe" (A Fistful of Dollars)
"Manco" (For a Few Dollars More)
"Blondie" (The Good, the Bad and the Ugly), The Man From Nowhere, "Señor Ninguno" ("Mr. Nobody"), Mr. Sudden Death, Nameless
Majina mengine The Stranger, The Hunter, The Bounty Killer
Kazi yake Bounty Hunter/Bounty Killer
Utaifa American

The Man With No Name (Kiitalia: Uomo senza nome) ni jina la kutaja uhusika katika filamu za western, lakini istilahi hii kikawaida hutumika mahususi kwa uhusika uliochezwa na Clint Eastwood kwenye filamu zilizoongozwa na Sergio Leone "The Dollars Trilogy."

Kunako mwaka wa 2008, Empire limechagua "The Man With No Name" kama uhusika mkali wa 43 katika filamu kwa muda wote.[1]

Mionekano[hariri | hariri chanzo]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Katika filamu ya Back to the Future Part III, Marty McFly kajiita kama "Clint Eastwood", mavazi na kofia aliyoivaa inafanana fika na "The Man with No Name", na kuiba baadhi ya ujanja kutoka katika filamu ya A Fistful of Dollars ili kumshinda "Mad Dog" Tannen.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Man with No Name at the Internet Movie Database