Nenda kwa yaliyomo

Mama Diop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mama Diop (alizaliwa 9 Oktoba,1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka nchini Senegal anayekipiga kama mshambuliaji kwa klabu ya Seconde Ligue ya Marseille pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Senegal.

Diop amewahi kuichezea Lycée Ameth Fall nchini Senegal, pamoja na klabu za Ufaransa zikiwemo FCF Condéen, Orvault SF, Toulouse FC, Arras FCF na Lens.[1]

  1. "Competitions - AWC 2014 Qualifiers (2014) - Team Details - Player Details". Confederation of African Football. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Oktoba 2014. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mama Diop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.