Nenda kwa yaliyomo

Malin Akerman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Malin Maria Åkerman (alizaliwa 12 Mei, 1978), mara nyingi huandikwa kwa mtindo wa Kiingereza kama Malin Akermanni mwigizaji wa Uswidi na Marekani. Alianza kuonekana katika nafasi ndogo katika utayarishaji wa filamu wa Kanada na Marekani, ikiwemo The Utopian Society (2003) na Harold & Kumar Go to White Castle (2004).[1][2]

  1. ↑ "Malin Akerman". Rotten Tomatoes. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Juni 2019. Iliwekwa mnamo 12 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ Behdjou, Behrang (14 Aprili 2017). "Malin Åkerman: 'Jag kom från ingenting – det hjälper mig i Hollywood'" [Malin Akerman: 'I came from nothing – that benefits me in Hollywood']. Dagens Nyheter (kwa Kiswidi). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Aprili 2017. Iliwekwa mnamo 19 Oktoba 2023.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Malin Akerman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.