Nenda kwa yaliyomo

Malick Mbaye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Malick Mbaye (alizaliwa 6 Aprili, 2004) ni mwanasoka wa kulipwa raia wa Senegal anayekipiga kama mshambuliaji wa klabu ya Belgian Pro League SV Zulte Waregem.

Kazi ya klabu

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Februari 2023, Mbaye alisaini na klabu ya Ufaransa FC Metz.Baada ya kuhamia, aliripotiwa akisema kwamba alikuwa "na furaha kujiunga na klabu hii kubwa".[1] Alifanya debut yake isiyo rasmi kwa klabu hiyo, akifunga bao pekee la timu yake katika sare ya 1–1 kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya R.F.C. Seraing (1922).

Kazi ya kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Mbaye aliwakilisha Senegal katika 2022 African Nations Championship, ambapo alionyesha ubora mkubwa huku Senegal ikishinda mashindano hayo kwa mara ya kwanza.[2]

  1. Gallois, Jean-Sébastien (10 Machi 2023). "Les premiers mots de Malick Mbaye : « Le FC Metz est un grand club »" [Malick Mbaye's first words: "FC Metz is a great club"]. estrepublicain.fr (kwa French). Iliwekwa mnamo 7 Aprili 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. "Malick Mbaye attire les regards des recruteurs" [Malick Mbaye catches the eye of recruiters]. wiwsport.com (kwa French). 25 Januari 2023. Iliwekwa mnamo 7 Aprili 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Malick Mbaye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.