Nenda kwa yaliyomo

Malek Maktabi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alek Maktabi (pia huandikwa Malik Maktaby; Kiarabu: مالك مكتبي; alizaliwa 10 Novemba 1981 mjini Beirut) ni mtangazaji wa televisheni kutoka Lebanoni. Anajulikana zaidi kwa kuendesha kipindi cha mazungumzo cha kila wiki kiitwacho Ahmar Bil Khatt Al Aarid (Red in Boldface), kinachojadili masuala ya kijamii na kibinadamu, na hurushwa kupitia mtandao wa televisheni wa LBC.[1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Malek Maktabi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.