Malatya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:58, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q165995 (translate me))


Malatya
Nchi Uturuki
Mkoa Anatolia ya Mashariki
Jimbo Malatya
Idadi ya wakazi (2000)
 - Wakazi kwa ujumla 381,081
Tovuti:  www.malatya.gov.tr

Malatya (Kihittite: Melid; Kigiriki: Μαλάτεια, Malateia; Kiarmenia: Մալաթիա, Malatia; Kikurdi: Meletî [1], Kilatini: Melitene) ni jina la kuita mji mkuu wa Jimbo la Malatya huko mkoa Mashariki mwa Anatolia nchini Uturuki. Takriban watu 381,081 wanaoshi mji hapa (sensa ya 2000). Mji upo mita 954 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Marejeo

Viungo vya Nje

  • Arslantepe University of Rome's English and Italian webpages on the excavations
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Malatya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.