Nenda kwa yaliyomo

Malado Kaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Malado Kaba (alizaliwa 22 Machi, 1971) ni mwanasiasa kutoka Guinea mtaalamu wa uchumi na mwanamke wa kwanza kuhudumu kama Waziri wa Uchumi na Fedha wa Guinea. Alihudumu kutoka Januari 2016 hadi Mei 2018.[1]

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Malado Kaba alizaliwa tarehe 22 Machi 1971 katika kaunti ya Montserrado, Monrovia, Liberia. Yeye na wazazi wake walihamia France akiwa na miezi 3 tu.[2]

  1. "L'Historique du ministère de l'Economie et des Finances de Guinée". mef.gov.gn. 10 Aprili 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Freland, François-Xavier (8 Machi 2017). "Guinée : pour Malado Kaba, ministre de l'Économie, " on peut s'endetter quand il s'agit d'investir dans des projets productifs "". Jeune Afrique (kwa French). Iliwekwa mnamo 16 Mei 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Malado Kaba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.