Makundi ya Sala
Mandhari

Makundi ya Sala ni mikusanyiko ya Wakatoliki waliovutiwa na padre Pio wa Pietrelcina, O.F.M.Cap., na utume wake kwa ajili ya watu wenye maumivu kupitia hospitali ya kisasa aliyoianzisha huko San Giovanni Rotondo, Foggia, Italia Kusini[1].
Katiba ya makundi hayo ilitolewa mwaka 1951 ikabadilishwa mwaka 1986. Kufikia mwaka 2018 makundi hayo yalikuwa 3,341 nchini Italia na 727 katika nchi nyingine 58, hasa Ufaransa, Eire na Marekani.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Christopher Stawski (2017). "Prayer In Context: A Micro Sociological Analysis of Religious Practice". University of Pennsylvania: 98–111.
Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- Allegri, Renzo (2000). Padre Pio: a man of hope. Ann Arbor. ISBN 9781569551387. OCLC 1342142594.
- Carty, Charles Mortimer (1994). Padre Pio: the stigmatist. Charlotte, North Carolina. ISBN 1-61890-263-6. OCLC 956998113.
{{cite book}}: CS1 maint: location missing publisher (link) - Castelli, Francesco (2011). Padre Pio under investigation: the secret Vatican files. Vittorio Messori, Lee Bockhorn, Giulietta Bockhorn. San Francisco: Ignatius Press. ISBN 978-1-58617-405-7. OCLC 671704344.
- Ceci, Lucia (2016). The Vatican and Mussolini's Italy. Boston: Brill Publishers. doi:10.1163/9789004328792. ISBN 978-90-04-32879-2. OCLC 960759128.
- Cruz, Joan Carroll (1997). Mysteries, marvels, miracles in the lives of saints. Rockford, Ill.: Tan Books and Publishers. ISBN 0-89555-541-7. OCLC 39777980.
- Kalvelage, Bro. Francis Mary (1999). Padre Pio: the wonder worker. New Bedford, MA: Franciscan Friars of the Immaculate. ISBN 0-89870-770-6. OCLC 48964995.
- Luzzatto, Sergio (2011). Padre Pio: Miracles and politics in a secular age (tol. la 1st). New York: Picador. ISBN 978-0312611668.
- Margry, Peter Jan (2008). "Il marketing di Padre Pio: strategie cappuccine e vaticane e la coscienza religiosa collettiva". Sanctorum: Rivista dell'Associazione Italiana per lo studio della santità, dei culti e dell'agiografia (5): 141–167. doi:10.1400/118295.
- Pelletier, Joseph A. "Padre Pio, Mary, and the Rosary". Garabandal. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-10-20. Iliwekwa mnamo 2008-01-19.
- Ruffin, C. Bernard (1991) [1982]. Padre Pio, the true story. Huntington, Ind.: Our Sunday Visitor. ISBN 0-87973-673-9. OCLC 8381955.
- Schug, John A. (1987) [1976]. Padre Pio. Huntington, Ind.: Our Sunday Visitor. ISBN 0-87973-856-1. OCLC 2618900.
- Rega, Frank (2005). Padre Pio and America. Rockford. ISBN 9780895558206. OCLC 1285743511.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- "Padre Pio de Pietrelcina" in Vatican News Service
- Padre Pio of Pietrelcina – Official website (in Italian and English)
- Magazine The Voice of Padre Pio – Official website (in Italian and English)
- Sanctuary of Saint Pio of Pietrelcina – Official Website (in Italian and English)
- Padre Pio of Pietrelcina – Official TV and radio channels (in Italian)
- Padre Pio of Pietrelcina – Books and religious gifts (in Italian and English)
- Padre Pio Foundation of America
- All about Padre Pio Ilihifadhiwa 9 Juni 2017 kwenye Wayback Machine.
- Catholic television network EWTN biography.
| Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Makundi ya Sala kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
