Makumbusho ya Viumbe ya Bujumbura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makumbusho ya Viumbe ya Bujumbura (kwa Kiingereza Living Museum of Bujumbura) ni Bustani ya wanyama na makumbusho yanayopatikana nchini Burundi katika mji mkuu wa Bujumbura, yakionyesha viumbehai na sanaa zinazopatikana katika nchi ya Burundi [1]

Makumbusho yalianzishwa mwaka 1977 yakiwa na ukubwa wa ekari 7.4. Hadi mwaka 2016, bustani ya wanyama ilikuwa na mamba sita, nyani mmoja, chui mmoja, nyoka na samaki.

Idadi ya watembeleaji katika makumbusho hayo ilishuka sana mwaka 2015 kutokana na machafuko yaliyotokea nchini Burundi.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Irakoze, Inès. "Le Musée Vivant de Bujumbura, un trésor unique aux oubliettes", Akeza.net, 13 December 2016. Retrieved on 7 January 2017. 
  2. "Musée vivant de Bujumbura: Il a subi des pertes d’au moins 10%", Publication de Presse Burundaise. Retrieved on 7 January 2017. Archived from the original on 2020-07-25. 

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Viumbe ya Bujumbura kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.