Makumbusho ya Urithi Tanga
Mandhari

Makumbusho ya Urithi Tanga ni Jumba la Makumbusho la urithi wa mkoa wa Tanga, lililoanzishwa mwaka 2007 na asasi isiyo ya kiserikali inayoitwa Tanga Heritage Centre (URITHI).
Makumbusho hayo yapo kwenye jengo lililokuwa boma la Wajerumani Tanga. Boma hilo lilijengwa mwaka 1890 kama ofisi na makazi ya mkuu wa wilaya.
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tanga bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Urithi Tanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |