Makozo Chikote
Mandhari
Makozo Chikote ni mwanasiasa wa Zambia. Yeye ni Waziri wa Nishati wa sasa wa Zambia na Mbunge wa Jimbo la Luampa. Yeye ni mwanachama wa Chama cha United Party for National Development (UPND). Alizaliwa tarehe 25 Mei 1975 nchini Zambia. Ana Shahada ya Kwanza pamoja na Cheti katika Masuala ya Diplomasia, Itifaki na Mahusiano ya Umma[1]. Awali aliwahi kuwa Waziri wa Uvuvi na Mifugo.[2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Makozo Chikote | National Assembly of Zambia". www.parliament.gov.zm (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2026-05-06.
- ↑ Ulande Nkomesha. "HH moves Kapala to Livestock, as Chikote takes over Energy". Zambia: News Diggers! (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2026-05-06.
- ↑ "HH Names Full Cabinet, Appoints New BOZ Governor". Open Zambia (kwa American English). 2021-09-08. Iliwekwa mnamo 2026-05-06.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Makozo Chikote kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |