Nenda kwa yaliyomo

Makoti Khawula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makoti Sibongile Khawula (aliyezaliwa tarehe 7 Desemba 1954) ni mwanasiasa wa Afrika Kusini na mwanaharakati wa zamani wa kupinga ubaguzi wa rangi (apartheid) kutoka KwaZulu-Natal. Amehudumu kama Mbunge katika Bunge la Taifa la Afrika Kusini tangu mwaka 2014 kwa niaba ya chama cha Economic Freedom Fighters (EFF).

Khawula anajulikana kwa msisitizo wake wa kuzungumza lugha ya Kizulu ndani ya Bunge.[1]

  1. Evans, Jenni (22 Desemba 2015). "Meet the EFF MP who refuses to speak English in Parliament". News24. Cape Town. Iliwekwa mnamo 10 Aprili 2020.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makoti Khawula kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.