Maker Mwangu Famba
Mandhari
Maker Mwangu Famba ni mwanasiasa wa Kongo. Tarehe 5 Februari 2007, aliteuliwa kuwa Waziri wa Elimu ya Msingi, Sekondari na Ufundi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, chini ya Serikali ya Antoine Gizenga iliyodumu kuanzia tarehe 25 Novemba 2007 chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Antoine Gizenga. Yeye ni mwanachama wa chama cha Unified Lumumbist Party (ULP) [Chama kilichounganishwa cha Lumumba].[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "New cabinet sworn in in DR Congo". The Sydney Morning Herald (kwa Kiingereza). 2008-11-01. Iliwekwa mnamo 2026-05-25.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maker Mwangu Famba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |