Nenda kwa yaliyomo

Make It Reign

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Make It Reign
Make It Reign Cover
Studio album ya Lord Tariq na Peter Gunz
Imetolewa 2 Juni 1998
Imerekodiwa 1997-1998
Aina Rap
Urefu 63:50
Lebo Columbia Records
Mtayarishaji DJ Clark Kent
Teddy Riley
Peter Gunz
Jermaine Dupri


'Make It Reign' ni jina la albamu ya kwanza ya marapa wawili wa Kimarekani, Lord Tariq na Peter Gunz. Album ilitolewa mnamo mwaka wa 1998 kupitia studio ya Columbia Records. Albamu imetoa single mbili matata kabisa, iliyopata sifa sana ilikuwa "Deja Vu (Uptown Baby)" na "We Will Ball",ya mwanzoni imeingiziwa na sampuli ya kutoka katika wimbo wa Steely Dan ule wa "Black Cow". Albamu ilitunukiwa platinam na RIAA. Albamu imeshirikisha baadhi ya wasanii kama vile DJ Clark Kent, Sticky Fingaz, Kurupt, Teddy Riley, Cam'ron, Fat Joe, Big Pun na Jermaine Dupri.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

 1. "Make It Reign" akimsh. DJ Clark Kent- 3:00
 2. "We Will Ball"- 3:58
 3. "Massive Heat" akimsh. Sticky Fingaz, Kurupt na DJ Clark Kent- 4:18
 4. "Sex, Money, Life, au Death"- 1:20
 5. "One Life to Live"- 4:30
 6. "Fiesta" akimsh. Will Tracks- 3:54
 7. "Then na Now"- :15
 8. "Startin' Somethin'" akimsh. 1 Accord na Teddy Riley- 4:20
 9. "A Night in the Bronx With Lord na Gunz"- 3:56
 10. "Who Am I?"- 3:35
 11. "Déjà Vu (Uptown Baby)"- 5:03
 12. "Keep On" akimsh. DJ Clark Kent- 4:13
 13. "Wauldwide"- 4:50
 14. "Streets to da Stage" akimsh. Cam'ron- 3:50
 15. "BX Most Wanted"- 1:02
 16. "Cross Bronx Expressway" akimsh. Fat Joe na Big Pun- 5:23
 17. "Precipitation"- 2:45
 18. "My Time to Go"- 5:39
 19. "Be My Lady" akimsh. Jermaine Dupri- 3:49