Nenda kwa yaliyomo

Makabila ya Zanzibar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makabila ya Zanzibar, visiwa vya Tanzania vilivyoko Bahari ya Hindi, yanawakilisha mchanganyiko wa tamaduni za Kiafrika, Kiarabu, Kishirazi, na Kiasia kutokana na historia ya biashara ya baharini, ukoloni, na uhamiaji wa karne nyingi. Zanzibar hakuna makabila ya moja kwa moja bali watu huitwa kimaeneo. Yaani, watu wa eneo fulani watwaita kwa jina la eneo hilo.

Jamii kuu ni:

Lugha rasmi ni Kiswahili, lakini lahaja kama Kiunguja, Kipemba, Kimakunduchi, na Kingazija hutumika katika maisha ya kila siku. Tamaduni za Zanzibar hujumuisha muziki wa taarab, ngoma za unyago, vyakula vya pilau, urojo, na sherehe za Maulidi, Eid, na Siku ya Mapinduzi.[1][2]

  1. Sheriff, Abdul (2018). Zanzibar: Historia na Utambulisho wa Makabila ya Pwani. Zanzibar Historical Society.
  2. Bakari, Ali (2023). "Uhusiano wa Makabila ya Pwani na Lugha ya Kiswahili". Journal of Swahili Coast Studies. 10 (1): 45–72.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makabila ya Zanzibar kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.