Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya makabila ya Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Makabila ya Tanzania)

Orodha ya makabila ya Tanzania inayotolewa hapa inataja makabila zaidi ya mia moja na ishirini (120) ambayo hupatikana katika mikoa yote ya Tanzania. Ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika eneo ambalo sasa linaitwa Tanzania, pamoja na yale yaliyogawiwa na mipaka baina ya Tanzania na nchi za jirani. Orodha hii haiorodheshi makundi kutoka nchi za nje, kama wahamiaji au wazao wao kutoka Uarabuni, Uhindi, China au Ulaya, wala makabila ya Kiafrika yanayoishi sasa nchini Tanzania, hata kama yamepata uraia kwa wingi, k.mf. waliokimbia vita katika nchi za jirani.

Juu ya hiyo, hakuna ufafanuzi wa wazi kusema kundi fulani ni kabila au siyo. Vikundi kadhaa katika orodha hii vina wenyeji mamia tu, lakini vikundi vingine vina mamilioni ya watu; labda kila kikundi kinaitwa "kabila," lakini ni jamii za aina tofauti kabisa. Vikundi katika ukurasa huu vimeorodheshwa hasa kutokana na ushahidi wa Ethnologue [1] pamoja na tovuti nyingine [2] katika kutofautisha lugha za Tanzania; unaweza kuwa na matatizo kwenye majina kadhaa, kwa sababu mbalimbali. Kwa mfano, inawezekana kwamba baadhi ni majina ya lugha au lahaja tu, badala ya makabila, na labda mengine yaliandikwa vibaya.

Tanzania haina kabila linalozidi kabisa mengine, jambo lililosaidia, pamoja na lugha ya taifa, kukwepa unyanyasaji na vurugu kati ya makabila tofauti sana, kwa sababu barani Afrika hakuna nchi nyingine iliyo na aina zote 4 za watu wa Kusini kwa Sahara: Wabantu, Waniloti, Wakushi na Wasani, mbali ya Wahadzabe ambao ni wa pekee kabisa [3]. Inakadiriwa kwamba zaidi ya asilimia 90 ya Watanzania ni wa Kibantu, asilimia 4 ni wa Kiniloti, asilimia 2.2 ni wa Kikushi na asilimia 0.3 ni wa Kikhoisan.

Jedwali

Kabila Mkoa Wilaya Kundi la kikabila-lugha Maelezo
Waakie (pia Wamosiro) Manyara Simanjiro Wasani Kama ilivyo kwa wawindaji-wakusanyaji wengi nchini Tanzania na Kenya, wakati mwingine huitwa "Wandorobo", jina ambalo ni la kudhalilisha na si sahihi.[4]
Waakiek Dodoma Kondoa Waniloti Waakiek pia wakati mwingine huitwa "Wandorobo", jina ambalo ni la kudhalilisha na si sahihi.
Waalagwa (pia Wasi) Dodoma Kondoa na Chemba Wakushi Jamii hii inahusishwa na sanaa ya kutengeneza mvua (uganga wa mvua), licha ya kuwa asilimia 99 ni Waislamu.[5]
Waarusha Arusha Arusha Wabantu wanaosema Kiniloti
Waasa Arusha Arusha Wakushi wanaosema Kiniloti
Wabarabaig Manyara Hanang Waniloti Jina walilopewa Wamang'ati si la heshima.
Wabembe Katavi Mpanda, Tanganyika na Nkasi Wabantu
Wabena Njombe, Iringa na Morogoro Njombe, Wanging'ombe, Makambako, Iringa Vijijini na Ulanga Wabantu Asilimia 1.5 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [6].
Wabende Katavi Mpanda Wabantu
Wabondei Tanga Muheza, Pangani na Korogwe Wabantu
Wabungu (pia Wawungu) Rukwa Sumbawanga na Kalambo Wabantu
Waburunge Manyara na Dodoma Babati na Chemba Wakushi
Wachagga Kilimanjaro Moshi, Moshi Vijijini, Rombo, Siha na Hai Wabantu Asilimia 4.1 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [7].
Wadatoga Manyara Hanang na Mbulu Waniloti
Wadhaiso Tanga Muheza na Korogwe Wabantu
Wadigo Tanga Mkinga na Tanga Wabantu Asilimia 0.8 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [8].
Wadoe Pwani Bagamoyo, Kisarawe, Mkuranga Wabantu
Wafipa Rukwa Sumbawanga Mjini, Sumbawanga Vijijini, Nkasi na Kalambo Wabantu Asilimia 2.3 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [9].
Waganda Kagera Missenyi Wabantu
Wagogo Dodoma Dodoma Mjini, Chamwino, Kondoa, Bahi, Kongwa na Mpwapwa Wabantu Asilimia 2.3 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [10].
Wagoma Kigoma Kigoma-Ujiji na Kigoma, Uvinza, Kasulu, Buhigwe, Kibondo Wabantu
Wagorowa (pia Wafiome) Manyara Mbulu na Hanang Wakushi
Wagweno Kilimanjaro Mwanga Wabantu
Waha Kigoma Kigoma, Uvinza, Kasulu, Buhigwe, Kibondo na Kakonko Wabantu Asilimia 5.2 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [11].
Wahadimu Unguja Kusini Kusini na Kati Wabantu
Wahadzabe (pia Wahadza au Watindiga) Arusha Karatu Kabila la wawindaji-wakusanyaji la pekee kabisa
Wahangaza Kagera Ngara Wabantu
Wahaya Kagera Muleba, Bukoba Vijijini, Bukoba, Karagwe na Kyerwa na Missenyi Wabantu Asilimia 2.6 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [12].
Wahehe Iringa Iringa Mjini, Iringa Vijijini, Kilolo, na Mufindi Wabantu Asilimia 2.6 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [13].
Waholoholo Kigoma Kigoma-Ujiji, Kigoma na Uvinza Wabantu
Waikizu Mara Butiama na Musoma Vijijini Wabantu
Waikoma Mara Serengeti na Butiama Wabantu
Wairaqw (pia Wambulu) Manyara Mbulu, Hanang, Karatu Wakushi Asilimia 3.3 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [14].
Waisanzu Singida Iramba na Mkalama Wabantu
Waisenye Mara Serengeti Wabantu
Wajaluo Mara Rorya na Musoma Vijijini Waniloti Asilimia 1.0 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [15].
Wajiji Kigoma Kigoma-Ujiji Wabantu
Wajita Mara Musoma Vijijini Wakushi wanaosema Kibantu. Asilimia 1.2 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [16].
Wakabwa Mara Musoma na Butiama Wabantu
Wakaguru Morogoro Kilosa na Gairo Wabantu Asilimia 1.1 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [17].
Wakahe Kilimanjaro Moshi Vijijini Wabantu
Wakami Morogoro Morogoro Vijijini, Kilosa na Mvomero Wabantu
Wakara (pia Waregi) Mwanza Ukerewe Wabantu
Wakerewe Mwanza Ukerewe Wabantu Asilimia 0.7 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [18].
Wakimbu Tabora Uyui Wabantu
Wakinga Njombe Makete Wabantu Asilimia 0.3 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [19].
Wakisankasa Arusha Ngorongoro Waniloti
Wakisi Njombe Makete Wabantu
Wakonongo Katavi Mpanda Wabantu
Wakuria Mara Tarime na Rorya Wabantu Asilimia 1.2 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [20].
Wakutu Morogoro Morogoro Vijijini na Mvomero Wabantu
Wakw'adza Wakushi Kabila hilo limemezwa na yale ya Wagogo na Wasandawe
Wakwaya Mara Musoma, Musoma Vijijini na Butiama Wabantu
Wakwere (pia Wanghwele) Pwani Bagamoyo na Kibaha Wabantu Asilimia 0.6 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [21].
Walambya Songwe Ileje na Momba Wabantu
Waluguru Morogoro Mvomero, Morogoro Mjini na Morogoro Vijijini Wabantu Asilimia 2.6 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [22].
Walungu (pia Warungu) Rukwa Sumbawanga Vijijini, Nkasi na Kalambo Wabantu
Wamachinga Lindi Kilwa Wabantu
Wamagoma Njombe Makete Wabantu
Wamahanji Njombe Makete Wabantu
Wamakonde Mtwara Mtwara, Masasi, Tandahimba na Newala Wabantu Asilimia 2.4 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [23].
Wamakua (pia Wamakhuwa) Mtwara Masasi, Nanyumbu, Tandahimba, Nachingwea na Ruangwa Wabantu Asilimia 2.1 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [24].
Wamakwe (pia Wamaraba) Ruvuma Tunduru Wabantu
Wamalila Songwe Momba Wabantu
Wamambwe Rukwa Kalambo Wabantu
Wamanda (pia Wanyasa) Njombe na Ruvuma Ludewa, Mbinga na Nyasa Wabantu
Wamanyema Kigoma Kigoma-Ujiji Wabantu Asilimia 0.4 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [25].
Wamasai Manyara na Arusha Ngorongoro, Kiteto, Simanjiro, Longido, Monduli na Arusha Waniloti Asilimia 1.9 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [26].
Wamatengo Ruvuma Mbinga Wabantu
Wamatumbi Lindi Kilwa na Ruangwa Wabantu
Wamaviha (pia Wambiha) Mtwara Mtwara Wabantu
Wambugu Tanga Lushoto na Bumbuli Wabantu
Wambugwe Manyara Babati Wabantu Asilimia 0.6 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [27].
Wambunga Morogoro Mlimba Wabantu
Wameru (pia Warwa) Arusha Meru Wabantu Asilimia 0.3 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [28].
Wampoto Ruvuma Mbinga Wabantu
Wamwera Lindi Mtama, Ruangwa na Nachingwea Wabantu Asilimia 0.5 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [29].
Wandali Songwe Ileje na Rungwe Wabantu Asilimia 1.0 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [30].
Wandamba Morogoro Ifakara Mjini, Malinyi Wabantu
Wandendeule Ruvuma Namtumbo na Songea Vijijini Wabantu Asilimia 0.6 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [31].
Wandengereko Pwani Mkuranga, Kisarawe na Rufiji Wabantu Asilimia 1.5 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [32].
Wandonde Lindi Nachingwea Wabantu
Wanena Njombe Ludewa Wabantu
Wangasa (pia Waongamo) Kilimanjaro Rombo Waniloti
Wangindo Lindi Nachingwea na Ruangwa Wabantu Asilimia 0.8 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [33].
Wangoni Ruvuma Songea Mjini, Wilaya ya Songea na Namtumbo Wabantu Asilimia 2.1 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [34].
Wangulu (pia Wanguu, Wageja, Wayomba) Tanga na Morogoro Kilindi, Mvomero, Gairo na KIlosa Wabantu Asilimia 0.8 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [35].
Wangurimi (pia Wangoreme) Mara Serengeti na Tarime Wabantu
Wanindi Ruvuma Namtumbo Wabantu
Wanyakyusa Mbeya Rungwe na Kyela Wabantu Asilimia 2.7 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [36].
Wanyambo Kagera Karagwe na Kyerwa Wabantu Asilimia 0.9 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [37].
Wanyamwanga Songwe Mbozi na Momba Wabantu
Wanyamwezi Tabora na Shinyanga Tabora, Sikonge, Nzega, Kahama, Shinyanga, Uyui na Igunga Wabantu Asilimia 2.1 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [38].
Wanyanyembe Tabora Uyui Wabantu
Wanyaturu Singida Singida, Ikungi na Mkalama Wabantu Asilimia 2.3 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [39].
Wanyiha Songwe Mbozi Wabantu Asilimia 1.0 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [40].
Wanyiramba (pia Wanilamba) Singida na Shinyanga Iramba, Ikungi na Kishapu Wabantu Asilimia 1.4 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [41].
Wapangwa Njombe Ludewa Wabantu
Waparakuyo (pia: Wakwavi) Morogoro Kilosa na Mvomero Waniloti
Wapare (pia Wasu) Kilimanjaro Mwanga na Same Wabantu Asilimia 1.2 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [42].
Wapimbwe Katavi Mpimbwe Wabantu
Wapogolo (pia Wapogoro) Morogoro Ulanga na Mlimba Wabantu Asilimia 2.0 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [43].
Warangi (pia Walangi) Dodoma Kondoa na Chemba Wabantu Asilimia 0.8 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [44].
Warufiji Pwani Rufiji na Kibiti Wabantu
Warungwa Katavi Mpanda Wabantu
Wasafwa Mbeya Mbeya Mjini na Mbeya Wabantu Asilimia 0.4 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [45].
Wasagara (pia Wakwifa) Morogoro Kilosa Wabantu
Wasandawe Dodoma Chemba Wasani Asilimia 0.4 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [46].
Wasangu Mbeya Mbarali Wabantu
Wasegeju Tanga Mkinga Wabantu
Washambaa Tanga Lushoto, Korogwe na Bumbuli Wabantu Asilimia 2.3 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [47].
Washirazi (pia Wambwera) Unguja Mjini Magharibi na Pemba Kaskazini Unguja Mjini, Unguja Magharibi, Micheweni na Wete Wabantu Asilimia 1.0 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [48].
Washubi Kagera Ngara Wabantu Asilimia 0.7 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [49].
Wasizaki Mara Serengeti Wabantu
Wasuba Mara Rorya Wabantu
Wasukuma Mwanza, Simiyu, Shinyanga na Geita Ilemela, Nyamagana, Sengerema, Bariadi, Busega, Itilima, Maswa, Magu, Geita, Meatu, Shinyanga Mjini, Shinyanga Vijijini, Kishapu, Kwimba, Misungwi, Nyang'hwale, Kahama Vijijini, Kahama Mjini, Msalala, Ushetu na Mbogwe Wabantu Asilimia 17.9 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [50].
Wasumbwa Geita Kahama Vijijini, Kahama Mjini na Bukombe Wabantu
Waswahili Mikoa yote Mikoa yote Wabantu Asilimia 70.4 ya Watanzania nyumbani wanaongea zaidi lugha ya Kiswahili [51].
Watemi (pia Wasonjo) Arusha Ngorongoro Wabantu
Watongwe Kigoma Uvinza Wabantu
Watumbuka Rukwa Nkasi na Sumbawanga Vijijini Wabantu
Wavidunda Morogoro Kilosa Wabantu
Wavinza Kigoma Uvinza Wabantu
Wawanda Rukwa Sumbawanga Vijijini Wabantu
Wawanji Njombe Makete Wabantu
Waware Mara Rorya na Tarime Wabantu
Wayao Lindi, Mtwara na Ruvuma Nachingwea, Ruangwa, Masasi, Tunduru na Namtumbo Wabantu Asilimia 2.1 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [52].
Wazanaki Mara Butiama na Musoma Mjini Wabantu
Wazaramo Dar es Salaam na Pwani Ilala, Temeke, Ubungo, Kigamboni, Kinondoni, Bagamoyo, Kibaha na Kisarawe Wabantu Asilimia 2.5 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [53].
Wazigua (pia Wazigula) Tanga Handeni, Kilindi, Korogwe Wabantu Asilimia 1.4 ya Watanzania wanajitambulisha kuwa wa kabila hilo [54].
Wazinza Geita na Mwanza Geita na Chato Wabantu
Wazyoba Kigoma Kigoma Vijijini na Wilaya ya Kigoma Mjini Wabantu

Marejeo

  1. ↑ http://www.ethnologue.com/show_country.asp?name=TZ
  2. ↑ http://www.fizzylogic.com/wasukuma/makabila_tz.html Ilihifadhiwa 22 Agosti 2006 kwenye Wayback Machine.
  3. ↑ Ethnic groups of Tanzania
  4. ↑ "Akie - A heavily endangered hunter‐gatherers' language in Central Tanzania" (PDF). Documentation of Endangered Languages. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka (PDF) kutoka chanzo mnamo 2021-07-13. Iliwekwa mnamo Juni 12, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. ↑ Raa, Eric Ten. "The Moon as a Symbol of Life and Fertility in Sandawe Thought." Africa: Journal of the International African Institute, vol. 39, no. 1, 1969, pp. 24–53. JSTOR, https://doi.org/10.2307/1157948. Accessed 18 Mar. 2023.
  6. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  7. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  8. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  9. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  10. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  11. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  12. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  13. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  14. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  15. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  16. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  17. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  18. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  19. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  20. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  21. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  22. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  23. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  24. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  25. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  26. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  27. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  28. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  29. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  30. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  31. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  32. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  33. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  34. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  35. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  36. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  37. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  38. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  39. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  40. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  41. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  42. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  43. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  44. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  45. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  46. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  47. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  48. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  49. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  50. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  51. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.2
  52. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  53. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4
  54. ↑ https://www.afrobarometer.org/wp-content/uploads/2023/07/Summary-of-results-Tanzania-Afrobarometer-R9-28july23.pdf Q.4