Majadiliano ya mtumiaji:~2025-42406-4
Weka madaMandhari
Latest comment: miezi 5 iliyopita by Czeus25 Masele in topic Makala
Maalum:Michango/AlexBongo89 = akaunti kubwa.
Makala
[hariri chanzo]Ndugu, naona unaanzisha Makala kwenye ukurasa wa majadiliano wa makala hiyo, je unafanya hivyo ukiendelea kuiweka sawa kicha utaichapisha kwenye ukurasa wake? kama sio, basi unda akaunti yako, chapisha kwanza kwenye sehemu yako ya majaribio ukiridhika makala yako iko sawa ndio uichapishe kwenye ukurasa mkuu. Czeus25 Masele (majadiliano) Czeus25 Masele (majadiliano) 06:03, 21 Agosti 2025 (UTC)