Majadiliano ya mtumiaji:Thomson Walt

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

TEST[hariri chanzo]

Miss Grand International
Miss Grand International Organisation
(Kithai) มิสแกรนด์อินเตอร์เนชันแนล
Faili:Miss Grand International Trademark.png
Alama ya Miss Grand International
Faili:Miss Grand International Symbol.png
Habari za jumla
UfupishoMGI
AinaKampuni
Motto(Kiingereza) Stop the wars and violence
Historia
ImaraNovemba 6, 2013; miaka 10 iliyopita (2013-11-06)
MwanzilishiUthai Nawat Itsaragrisil
Muundo
RaisUthai Nawat Itsaragrisil
Makamu wa RaisUthai Teresa Chaivisut
Hivi sasa Miss Grand internationalVenezuela Valentina Figuera
Sehemu ya kufanya kaziUlimwenguni kote
Ofisi ya mkuuUthai Bangkok, Thailand
Mahali1213/414, Soi Lat Phrao 94 (Pancha Mit), Lat Phrao Road, Phapphla, Wang Thonglang, Bangkok, Thailand
Idadi ya wanachamaZaidi ya nchi 70
Mashirika yanayohusiana
MmilikiMiss Grand International Co, Ltd.
Vyombo tanzuMiss Grand Thailand
Vyombo vya habari
TovutiTovuti rasmi
   
Valentina Figuera, Miss Grand International 2019 pamoja na Ni Una Sonrisam Menos Foundation walitembelea hospitali ya watoto ya Rafael Tobías Guevara huko Barcelona, jimbo la Anzoátegui, Venezuela kutoa michango.

Miss Grand International ni ukurasa wa uzuri wa kike,[1] uliofanyika kila mwaka tangu 2013.[2] Ilianzishwa nchini Thailand na Nawat Itsaragrisil[2][3] na ilionekana kuwa moja ya mashindano maarufu ya urembo ulimwenguni.[4][5] Miss Grand International ya sasa ni Valentina Figuera kutoka Venezuela.[6] Wawakilishi kutoka nchi zinazozungumza Kiswahili kama Kenya, Tanzania, Kongo, Rwanda, na Uganda hawakuwahi kushinda mashindano haya.

Mshindi[hariri chanzo]

Mwaka Miss Grand International Nchi Mji mwenyeji Nchi mwenyeji Sehemu ya ushindani Idadi ya wagombea
2013 Janelee Chaparro[2] Puerto Rico Chiang Mai na Bangkok Bendera ya Uthai Thailand Impact, Muang Thong Thani 71
2014 Lees García[7][8] Bendera ya Kuba Cuba Sukhothai na Bangkok Bendera ya Uthai Thailand Indoor Stadium Huamark 85
2015 Anea Garcia[9] Bendera ya Jamhuri ya Dominika Dominican Republic Trat, Samut Songkhram na Bangkok Bendera ya Uthai Thailand Indoor Stadium Huamark 78
Claire Elizabeth Parker[9] Bendera ya Australia Australia
2016 Ariska Putri Pertiwi[2][10] Bendera ya Indonesia Indonesia Las Vegas Bendera ya Marekani USA Westgate Las Vegas 76
2017 María José Lora[11] Bendera ya Peru Peru Phu Quoc[12] Bendera ya Vietnam Vietnam[12] Vinpearl Convention Center[12] 77
2018 Clara Sosa[13][14] Bendera ya Paraguay Paraguay Rangoon Bendera ya Myanmar Myanmar The ONE Entertainment Park[13] 75
2019 Valentina Figuera[6] Bendera ya Venezuela Venezuela Caracas Bendera ya Venezuela Venezuela Poliedro de Caracas[6] 60
2020 Caracas Bendera ya Venezuela Venezuela Poliedro de Caracas[6] 70+

Wawakilishi kutoka nchi zinazozungumza Kiswahili[hariri chanzo]

Kitufe cha rangi

  •       Mshindi
  •       Finalist
  •       Semifinalist

Tanzania[hariri chanzo]

Mashindano ya Miss Grand Tanzania yalifanyika mara moja mnamo 2017, ambayo Batuli Mohamed ndiye mshindi. Mkurugenzi wa kwanza wa kitaifa wa Miss Grand International nchini Tanzania ni Paula David (2014-2015), na kufuatiwa na Samantha O'Shea Maina mnamo 2017-2019.

Mwaka Miss Grand Tanzania Mashindano ya kitaifa Umri Urefu Jiji Placement Tuzo maalum
Uthai 2013 Hakuna mmiliki wa haki nchini
Uthai 2014 Lorraine Clement Marriot[15] Miss Grand Tanzania 2014 20 176 cm Dar es Salaam
  • Top 20 – Mavazi bora ya Kitaifa
Uthai 2015 Jinah Dameckh[16] Nafasi ya 3 – Miss Grand Tanzania 2014 Dar es Salaam Hakujiunga na shindano
Marekani 2016 Hakuna mmiliki wa haki nchini
Vietnam 2017 Batuli Mohamed[17] Miss Grand Tanzania 2017 20 Dar es Salaam
  • Top 25 – Mavazi bora ya Kitaifa
Myanmar 2018 Queen Mugesi Ainory Gesase[18] 18 178 cm Dar es Salaam
  • Top 20 – Mavazi bora ya Kitaifa
Venezuela 2019 Hakuna mwakilishi

Kenya[hariri chanzo]

Mnamo 2013, mmiliki wa dhamana ya Miss Grand International nchini Kenya alikuwa Beauties of Africa Organia na Andy Abulime[19] na 2015, ilikuwa shirika la Miss Kenya.[20][21][22]

Mwaka Miss Grand Kenya Mashindano ya kitaifa Umri Urefu Jiji Placement Tuzo maalum
Uthai 2013 Pauline Akwacha[19] Top 10 – Miss World Kenya 2012 22 Kisumu
Uthai 2014 Hakuna mwakilishi
Uthai 2015 Elaine Wairimu Mwangi[20][21] Miss Grand Kenya 2015
(katika shindano la Miss Kenya 2015)
22 Nairobi
2016 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini

Kongo[hariri chanzo]

Kuna mwakilishi mmoja tu wa Kongo kwa Miss Grand International mnamo 2014, Naise Gumanda,[23][24] lakini hakujiunga na shindano hilo.

Mwaka Miss Grand Congo Mashindano ya kitaifa Umri Urefu Jiji Placement Tuzo maalum
Uthai 2013 Hakuna mwakilishi
Uthai 2014 Naise Gumanda[23][24] Hakujiunga na shindano
2017 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini

Rwanda[hariri chanzo]

Rwanda ilijiunga na Miss Grand International mara moja mnamo 2016 na Sonia Gisa.[25]

Mwaka Miss Grand Rwanda Mashindano ya kitaifa Umri Urefu Jiji Placement Tuzo maalum
2014 – 2015: Hakuna mmiliki wa haki nchini
Marekani 2016 Sonia Gisa[25] 25 169 cm Karongi
2017 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini

Uganda[hariri chanzo]

Mkurugenzi wa mwisho wa kitaifa wa Miss Grand International nchini Uganda ni Nsubuga Ronnie katika toleo la 2017. Tangu wakati huo, hakuna wawakilishi wa Uganda kwenye mashindano haya.

Mwaka Miss Grand Uganda Mashindano ya kitaifa Umri Urefu Jiji Placement Tuzo maalum
Uthai 2013 Pierra Akwero[26] Miss International Uganda 2009 26 Entebbe
Uthai 2014 Hakuna mwakilishi
Uthai 2015 Lilian Gashumba[27] 26 180 cm Kampala
Marekani 2016 Hakuna mwakilishi
Vietnam 2017 Priscilla Achieng[28] Miss Earth Uganda 2016[29] 24 175 cm Tororo
2018 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini

Marejeo[hariri chanzo]

  1. Sashes&Scripts Official (2019-05-18). "Age Requirements for Major International Pageants" (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-11. Iliwekwa mnamo 201-11-12.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. 2.0 2.1 2.2 2.3 Voltaire E. Tayag (2017-10-21). "Miss Grand International: A Pageant for Peace". The Rappler (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-15. Iliwekwa mnamo 2019-11-11. 
  3. Alexa Villano (2019-10-23). "What you need to know about the Miss Grand International pageant". The Rappler (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-10-24. Iliwekwa mnamo 2019-11-11. 
  4. Brigitte Ferguson (2019-07-07). "Miss Grand Australia Beauty Pageant". F Magazine Online (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-11. Iliwekwa mnamo 2019-11-11. 
  5. Global Beauties (2019-02-12). "Meenakshi Chaudhary, Miss India Grand, is Miss Grand Slam 2018!". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-13. Iliwekwa mnamo 2019-11-12.  Unknown parameter |lamguage= ignored (help)
  6. 6.0 6.1 6.2 6.3 Metro Puerto Rico (2019-10-28). "Valentina Figuera conquista Miss Grand International en su tierra" (kwa Kireno). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-05. Iliwekwa mnamo 2019-10-30. 
  7. Hot in Juba (2014). "Miss Grand International Lees Garcia is in Juba" (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-27. Iliwekwa mnamo 2019-11-12. 
  8. Miss Grand International (2015-05-23). "Lees Garcia - Miss Grand International 2014 Inside The Refugee Camp" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-11-11. 
  9. 9.0 9.1 Jenna Clarke (2016-03-02). "Sexual assault allegations engulf Miss Grand International as Claire Parker adopts crown". The Sydney Morning Herald (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-11. Iliwekwa mnamo 2019-11-11. 
  10. Concurso Nacionalde Beleza (2017-04-21). "Conheça os detalhes sobre o Miss Grand International 2017!" (kwa Kireno). Iliwekwa mnamo 2018-04-27. 
  11. Global Beauties (2017-10-25). "Miss Grand International 2017 is Miss Peru!" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-04-27. 
  12. 12.0 12.1 12.2 Global Beauties (2017-05-24). "Miss Grand International 2017 in Vietnam – Official Press Conference" (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-04-27. 
  13. 13.0 13.1 Rappler.com (2018-10-26). "Miss Grand International 2018 Clara Sosa faints on stage after winning title" (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-23. Iliwekwa mnamo 2018-11-12. 
  14. Testbook.com (2018). Current Affairs Capsule October 2018 (kwa Kiingereza). October 2018. Testbook.com. uk. 28. 
  15. Miss Grand International Organization (2013). "Miss Grand Tanzania 2013" (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-21. Iliwekwa mnamo 2020-01-22. 
  16. Angelopedia (2015-09-19). "Jinah Dameckh to represent Tanzania at the Miss Grand International 2015" (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-22. Iliwekwa mnamo 2020-01-22. 
  17. Global Beauties (2017-08-12). "Miss Grand Tanzania 2017" (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-25. Iliwekwa mnamo 2020-01-21. 
  18. Irina Silva (2018-08-27). "Queen Mugesi Ainory Gesase crowned Miss Grand Tanzania 2018" (kwa Kiingereza). Angelopedia. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-30. Iliwekwa mnamo 2020-01-21. 
  19. 19.0 19.1 Maureen Odiwour (2014-01-26). "Beauty beyond skin" (kwa Kiingereza). Standard Media. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-26. Iliwekwa mnamo 2020-01-22. 
  20. 20.0 20.1 Thegreatpageantcommunity (2015-08-12). "Linda Gatere is Miss Earth Kenya 2015 [Photos]" (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-06-10. Iliwekwa mnamo 2020-01-22. 
  21. 21.0 21.1 Angelopedia (2015-08-12). "Elaine Wairimu Mwangi crowned Miss Grand Kenya 2015" (kwa Kiingereza). Angelopedia. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-29. Iliwekwa mnamo 2020-01-22. 
  22. Capital campus (2015-06-09). "Are you the next Miss Kenya? here is what organisers are looking for" (kwa Kiingereza). Capital FM. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-21. Iliwekwa mnamo 2020-01-22. 
  23. 23.0 23.1 Pageantlovely (2014-08-01). "Miss Grand Congo 2014" (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-11. Iliwekwa mnamo 2020-01-22. 
  24. 24.0 24.1 Officialmisssierraleoneusa (2014-09-16). "Miss Sierra Leone USA Talks Miss Grand International 2014 - Queens of Africa" (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-02-08. Iliwekwa mnamo 2020-01-22. 
  25. 25.0 25.1 Miss Grand International Organisation (2015). "Miss Grand Rwanda 2015" (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-26. Iliwekwa mnamo 2020-01-22. 
  26. Miss Grand International Organisation (2013). "Miss Grand Uganda 2013" (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-29. Iliwekwa mnamo 2020-01-22. 
  27. Stella Nassuna (2015-10-14). "Ugandan girl finds it hard going in miss grand international" (kwa Kiingereza). New Vision: Uganda's Leading Daily. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-07-27. Iliwekwa mnamo 2020-01-22. 
  28. Denzel Shantel (2017-09-23). "Former Miss Earth needs 3M to fly to Vietnam to represent Uganda at Miss Grande Internationale" (kwa Kiingereza). Showbiz Uganda. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-01-21. Iliwekwa mnamo 2020-01-22. 
  29. Musa Ssemwanga (2016-09-06). "Tororo’s Priscilla Achieng crowned Miss Earth Uganda" (kwa Kiingereza). New Vision: Uganda's Leading Daily. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-24. Iliwekwa mnamo 2020-01-22. 

Viungo vya nje[hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Tangazo[hariri chanzo]

Habari ndugu Mwanawikipedia!

Mimi ni mwezeshaji wa mradi uitwao Mwongozo Wa Kimataifa Wa Mwenendo Na Maadili. Ni mradi mchanga/mpya ambao Shirika la Wikimedia Foundation linanuia kuuanzisha endapo wadau wataona ni mradi unaofaa. Nakukaribisha usome mwongozo huo na kisha utoe maoni yako kwa kujibu maswali yote au baadhi yake kwa yale utakayopenda kuyatolea maoni HAPA

Taarifa zaidi kuhusu Mwongozo wa Kimataifa wa Nidhamu na Mwenendo

Shirika la Wikimedia Foundation lina mpango wa kuanzisha Mwongozo Wa Kimataifa Wa Mwenendo Na Maadili. Lengo la mwongozo huo ni kujaribu kuainisha vitu vya msingi vinavyopatikana katika miongozo midogo midogo iliyopo tayari katika kila jamii husika (mfano Jumuiya yetu hii ya wahariri wa Wikipedia ya Kiswahili). Lengo hasa la mwongozo huu ni kutengeneza mazingira ambayo wanawikipedia wote duniani watakuwa na uelewa wa pamoja juu ya vitu vya msingi kuhusu nini kinakubalika na kipi hakikubaliki wakati wa uchangiaji (uhariri) wa Wikipedia na pale wanawikipedia wanapowasiliana kwenye Wikipedia au ana kwa ana katika warsha na mikutano ya Wanawikipedia. Wazo hilo limekuja baada kukithiri kwa baadhi ya Wanawikimedia kukumbana kufanyiwa unyanyasaji wa kitabia (mfano matusi, kuitana majina yasiyofaa, kutishiana n.k) na Wanawikimedia wenzao, hivyo kuwakatisha tamaa ya kuendelea kuchangia katika miradi ya Wikimedia.Hivyo, wewe kama mdau muhimu katika miradi ya Wikimedia Foundation, unakaribishwa ku soma zaidi kuhusu mwongozo huo Hapana baada ya kuusoma mwongozo huo unaweza ku toa maoni yako Hapa kabla ya tar 15 April 2020.

Mwaliko wa kujiunga na kundi la Wahariri wa Wikipedia

Nakukaribisha ujiunge na kundi la Wahariri wa Wikipedia kutoka Dar es Salaam ili tuweze kujadiliana na kubadilishana uzoefu na mambo kadha wa kadha kuhusu Uhariri wa Wikipedia. Iwapo utapenda kujiunga, usisite kuwasiliana nasi kupitia wikitzagroup@gmail.com, na kwa taarifa zaidi kuhusu kundi la Wahariri wa Wikipedia wa hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla na miradi waliyoitekeleza tayari, unaweza tembelea hapa ukurasa wao wa meta uitwao Wikimedia Community User Group Tanzania au pia katika Facebook kwa jila la Wikimedia Tanzania.

Ndimi AMtavangu (WMF) (majadiliano) 22:44, 5 Aprili 2020 (UTC)[jibu]


category:Mashindano ya urembo