Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Ostaz Juma

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miezi 7 iliyopita by Said Mfaume in topic Wikipedia Sio Ukurasa wa Matangazo

Wikipedia unajiunga kwa njia gani?

Wikipedia Sio Ukurasa wa Matangazo

[hariri chanzo]

Habari ndugu @Ostaz Juma, Tunapenda kuona watu wengi zaidi wakijiunga katika wikipedia kiswahili, naomba utambuwe wikipedia sio mahala pa matangazo yako binafsi na kujitangaza ivyo soma zaidi muongozo wetu ili kujua ni nini sahihi chakufanya. Ujumbe huu unaambatana na kuifuta makala uliyoianzisha ivi karibuni. Amani kwako Justine Msechu (majadiliano) 02:42, 11 Julai 2025 (UTC)Reply

@Justine Msechu Ameandika tena kama ulfuta makala yake. Ninashauri atiwe sandukuni. Tofali la kichwa. Said Mfaume (majadiliano) 04:09, 11 Julai 2025 (UTC)Reply