Majadiliano ya mtumiaji:Noel Gypsum
Weka madaNoel Gypsum short biography
Noel Gypsum ni Mwanamuziki na Mwandishi wa Nyimbo kutoka Nchini Tanzania, nchi inayopatikana barani Afrika ni moja kati ya nchi za upande wa mashariki wa bara hilo,Noel Gypsum alizaliwa huko kijijini isuyu mkoani simiyu, mnamo mwaka 1995/12/25 alipewa jina la Noel Michael kama jina LA kuzaliwa,wazazi wake mzee Michael na mama yake aliyeitwa Sophia wote ni marehemu, Noel Gypsum alianza kujihusisha na muziki wa kurap akiwa na umri wa miaka 11 huko kijijini Nyambureti mkoani Mara wilaya ya Serengeti, mafanikio yake kimuziki hayakuwa makubwa sana kwa sababu ya mazingira duni na umasikini hivyo hakuna environment support yoyote aliyopata, alipambana akamaliza kidato cha NNE shule ya sekondari ya Mama Maria Nyerere mnamo mwaka 2013 na hakuacha kuendeleza harakati zake za muziki, alipomaliza shule aliamua kutoroka nyumbani kabla ya matokeo ya kwenda kidato cha sita hayajatoka akaamua kwenda geita ili kujiaftia maisha, geita hakuwa na ndugu wala jamaa wa kumsaidia ila bahati nzuri alipokelewa na wasamalia. wema wakaamua kumtaftia kaz ya ulinzi alikubali lengo lake aujue mji vzuri ili apate connection yakusukuma muziki wake mbele zaidi ajikwamue kimaisha, lakini mwaka 2014 matokeo ya kwenda kidato cha sita yalitoka na alikuwa amefaulu kujiunga na masomo ya advance huko nyarubanda kijijini kipatikanacho mkoa wa kigoma mpakani na nchi ndogo ya Burundi, kutokana na hali duni ya maisha baba yake aliamua kuuza miti kadhaa ya mbao aliyokuwa ameipanda kwa ajiri ya kivuli pale nyumbani na walifanikiwa kupata hela kidogo kwa ajiri ya kwenda kuanzia masomo, alipofika shuleni maisha yalikuwa magumu sana kwani hata sabuni ya kuogea au kufulia ilikuwa inambidi aombe kwa marafiki zake, nyumbani hali ilikuwa ngumu kiasi kwamba kuna muda hata chakula kilikuwa cha shida sana, hivyo ilimbidi kila likizo inayopatikana afanye kazi kwenye migahawa kwa kulipwa Tsh 2500 kama day worker na hiyo hela anaikusany likizo ikiisha ndio inakuwa ya matumizi ya shule, ndoto zake kimuziki hazikufifia kwani shuleni alikuwa haachi kutumbuiza iwe bwenin au paredi, hakuwahi kukata tamaa kuupigania muziki wake, mwaka 2016 yeye na wenzake walihitimu shule na alikuwa tayari ashafanikiwa kuingia studio na kurekodi wimbo mmoja na msanii wa kizazi kipya aliyejulikana kama Centano (Noel Gypsum ft Centano-Tulia na Mimi) matokeo ya kujiunga na chuo kikuu yalitoka na alikuwa amefaulu na grade ya pili (division 2 ya point 10) hivyo alichaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha SAUT kwa masomo ya degree, ila pia alishindwa kuchukua cheti chake cha secondary advance kwa sababu baba yake hakuweza kulipa ada yote hivyo alikuwa anadaiwa kiasi cha kufikia 174000Tsh, kabla ya matokeo ya kujiunga na chuo kikuu Noel Gypsum hakuwa mzembe alijishughulisha kazi ya kufyatua tofari za block huko morogoro ambako alienda kwa msaada wa rafiki yake Aghatha Mbale waliyekutana katika mtandao wa Facebook,na akajitolea kumsaidia kupata kaz lakini hawakufanikiwa kupata kazi hvyo alitafta vijana wenzake wakawa wanatengeneza tofari za block kisha wanalipwa kama vibarua,alijiwekea hiyo hela kidogo kidogo kisha baada ya matokeo ilimsaidia kulipa gharana za uombaji mkopo na uombaji chuo, na gharama za mwanzoni za chuo baada ya kuwasili chuoni, kwa bahati mbaya hakupata mkopo awamu ya kwanza, alijipa moyo kusubiri, ila hata awamu ya pili hakuona jina lake kwenye list ya wanafunzi waliopata mkopo, familia yake ilikuwa duni sana hvyo hawakuweza kabisa kumsaidia ila aendelee na masomo, na kwa bahati mbaya nao walikata tamaa, hvyo aliacha chuo na akajipa moyo kuwa ataomba mwaka ujao, mwaka uliofuata aliomba mkopo na chuo, chuo alipata Mkwawa university iringa lakini mkopo hakupata tena, ndio likaja wazo LA kuwa hapati mkopo kwa sababu kasoma masomo ya Sanaa (arts), na hvyo ndio ndoto za kusoma zilizima hapo na akaamua kuishi kama MTU ambae hajasoma na haitegemei kabisa shule kichwani mwake aliamua kujichanganya kutafta ridhiki zake katika jiji LA mwanza, ndipo akaamua kuhangaikia kipaji chake hadi Leo kawa msanii mkubwa na hadi wewe umekaa unamjua na unafuatilia story yake.....
Start a discussion with Noel Gypsum
Talk pages are where people discuss how to make content on Wikipedia the best that it can be. Start a new discussion to connect and collaborate with Noel Gypsum. What you say here will be public for others to see.