Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano ya mtumiaji:Nehemia Kayumbo

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Latest comment: miaka 12 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Karibu katika Wikipedia kwa Kiswahili! Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuchangia. Kwanza nikupe pongeza kwa kama ya Neema. Sijategemea kabisa kama ungefanya kitu kama kile. Tena, eti hivi ulishawahi kuandika makala katika Wikipedia yoyote hapo awali? Ukiwa na swali lolote tafadhali uliza tu na nitakusaidia mara moja, ndugu! Wako, Muddyb au--MwanaharakatiLonga 10:19, 16 Agosti 2013 (UTC)Reply