Majadiliano ya mtumiaji:MuithyaJr

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Kipala (majadiliano) 10:18, 15 Aprili 2020 (UTC)[jibu]

Mwaliko wa kutoa maoni yako kuhusu Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Nidhamu[hariri chanzo]

Habari ndugu Mwanawikipedia!

Mimi ni mwezeshaji wa mradi uitwao Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili. Ni mradi mchanga/mpya ambao Shirika la Wikimedia Foundation linanuia kuuanzisha endapo wadau wataona ni mradi unaofaa na kuunga mkono wazo hilo. Nakukaribisha usome mwongozo huo na kisha utoe maoni yako kwa kujibu maswali yote au baadhi yake kwa yale utakayopenda kuyatolea maoni HAPA

Taarifa zaidi kuhusu Mwongozo wa Kimataifa wa Nidhamu na Mwenendo

Shirika la Wikimedia Foundation lina mpango wa kuanzisha Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili. Lengo la mwongozo huo ni kujaribu kuoanisha vitu vya msingi vya kimwongozo vinavyopatikana katika miongozo midogo midogo iliyopo tayari katika kila jamii husika (mfano katika Jumuiya yetu hii ya wahariri wa Wikipedia ya Kiswahili). Lengo hasa la mwongozo huu ni kujaribu kutengeneza mazingira ambayo wanawikipedia wote duniani watakuwa na uelewa wa pamoja juu ya vitu vya msingi kuhusu nini kinakubalika na kipi hakikubaliki wakati wa uchangiaji (uhariri) au utumiaji wa Wikipedia, na pia pale wanawikipedia wanapowasiliana ndani ya tovuti ya Wikipedia yenyewe au wanapokutana ana kwa ana katika warsha na mikutano mbalimbali ya Wanawikipedia. Wazo hilo limekuja baada kutokea kwa baadhi ya matukio kwa baadhi ya Wanawikimedia anbapo katika tafiti iliyofanywa mwaka 2015 , ilionekana baadhi ya Wanawikimedia walikuwa wakikumbana na unyanyasaji wa kitabia (mfano matusi, kuitana majina yasiyofaa, kutishiana n.k) na Wanawikimedia wenzao, hivyo kuwakatisha tamaa ya kuendelea kuchangia katika miradi ya Wikimedia.Wewe kama mdau muhimu katika miradi ya Wikimedia Foundation, unakaribishwa ku soma zaidi kuhusu mwongozo huona unaweza ku toa maoni yako Hapa kabla ya tar 29th April 2020.

Mwaliko wa kujiunga na kundi la Wahariri wa Wikipedia

Nakukaribisha ujiunge na kundi la Wahariri wa Wikipedia kutoka Tanzania (Dar es Salaam) ili tuweze kujadiliana na kubadilishana mawazo, uzoefu na mambo kadha wa kadha kuhusu Uhariri wa Wikipedia na miradi mingine yake ya Wikimedia Foundation. Iwapo utapenda kujiunga, usisite kuwasiliana nasi kupitia wikitzagroup@gmail.com, na kwa taarifa zaidi kuhusu kundi la Wahariri wa Wikipedia wa hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla kuhusu miradi waliyoifanya tayari, unaweza tembelea hapa ukurasa wao wa meta uitwao Wikimedia Community User Group Tanzania au pia katika Facebook kwa jila la Wikimedia Tanzania.

Ndimi Mtavangu19:09, 18 Aprili 2020 (UTC)[jibu]

Dennis Kipruto Kimetto[hariri chanzo]

Kigezo:Short description Kigezo:Infobox mwanariadha

Dennis Kipruto Kimetto alizaliwa mwaka 1984 mwezi wa Januari siku ya 22. Yeye ni mwanariadha wa masafa mrefu ambao hukimbia katika mashindano ya kuendesha barabarani. Kimetto alikuwa na rekodi ya ulimwengu kwa marathon ya wanaume na mara ya masaa mbili na dakika mbili na sekondi hamsini na saba. Yeye alikuwa na rekodi hii mpaka Eliud Kipchoge alipochukua rekodi mwaka wa 2018.

Kimetto anatoka mkoa wa bonde la ufa, mji wa Eldoret na yeye alikuwa mwanachama wa kikundi cha mafunzo na kilichoongozwa na Geoffrey Mutai. Kimetto alipata ushindi mkubwa wa kwanza katika nusu marathon wakati wa Nairobi marathon mwaka 2011. Yeye alishinda na mara ya saa moja na dakika moja na nusu. Kimetto alipata umaarufu na jamii la kuendesha aliposhindana nje ya Kenya. Kimetto aliposhinda Nusu Marathon ya Berlin, umri wake uliripotiwa vibaya na watu walisema kwamba Kimetto ana miaka kumi chini kuliko alivyosema. Kwa hivyo watu walifikiri kwamba Kimetto alikuwa na rekodi ya ulimwengu ya Jr. Jina lake liliriportiwa kama Dennis Koech pia. Sababu ya yote haya ilikuwa ni makosa kwenye pasipoti yake. Hii ilirekebishwa katika mashindano ya baadaye. Kimetto aliendelea hadi kuvunja rekodi katika BIG 25 Berlin. Baadaye yeye alishindana katika marathon ya kwanza yake na alikimbia kasi zaidi ya yeyote katika historia. Tena katika Berlin, Kimetto alikimbia na Geoffery Mutai kwa sehemu kubwa ya mashindano na alimaliza sekunde moja nyuma ya Mutai na alikuwa na wakati wa tano wenye kasi zaidi kuwahi kukimbia wakati huo. Baadhi ya waandishi wa habari walisema kwamba Kimetto alikaa nyuma ya Mutai wakati wa sehemu wa mwisho ya mashindano kwa sababu yeye alitakia Mutai kupata Kombe la safu ya Marathon ya Ulimwengu ya Meja. Mwaka 2013 Kimetto alivunja rekodi mbili katika kozi mbili katika Marathon ya Ulimwengu ya Meja. Alivunja rekodi katika mji wa Tokyo na wakati wa 2:06:50 na alivunja rekodi tena katika mji wa Chicago na wakati wa 2:03:45, wakati bora kabisa katika kozi ya ubora wa rekodi Marekani wakati huo. Mwaka 2014 mwezi wa tisa siku ya ishirini na nane, Kimetto alivunja rekodi ya ulimwengu katika Berlin Marathon na wakati wa 2:02:57 na akakuwa mwanaume wa kwanza alikimbia chini ya wakati 2:03. Isipokuwa wakati ya kuteremka na kusaidiwa sana na upepo katika Marathon ya Boston nusu wapili wa mbio yake ilikuwa haraka sana katika historia. Mwaka 2015 majira yake yalikuwa sio mazuri kama majira yaliopita kwa sababu yeye alimaliza tu Marathon ya London katika nafasi ya tatu. Kimetto hakumaliza IAAF Marathon ya Mashindano ya Dunia katika Beijing au Marathon ya Fukuoka kwa sababu alipata jeraha. Jeraha hili lilimfanya akose Olimpiki ya Rio na Marathon ya Chicago pia. Shinda za kuumia za Kimetto ziliendelea mwaka 2017, na jeraha la goti lilimfanya akose Marathon ya Boston. Kimetto hakuweza kumaliza Marathon ya Honolulu na Marathon ya Chicago tena mwaka sawa sawa. Kimetto alikulia katika vijijini vya kilimo. “Nadhani kinachonitia motisha kuwa mpiganaji ni ukweli kwamba ninatoka katika hali ya unyenyekevu” alisema Kimetto. “Ninajaribu kuhakikisha kuwa ninatimiza bora yangu ili niweze kusaidia familia yangu” akaongeza.

Ethiopia Habetemariam[hariri chanzo]

Ethiopia Habtemariam ni mkurugenzi mtendaji wa Rekodi ya Motown. Habtemariam alizaliwa Mwaka 1979 mwezi wa Septemba siku ya 24 katika mji wa Berkely jimbo la California. Mwaka 1994, alipokuwa na miaka 14, Habtemariam alianzia kufanya kazi na Rekodi ya LaFace, lebo ya rekodi ambayo iliundwa na mkurugenzi mtendaji wa zamani ya Rekodi ya Epic, LA Reid. Kazi hiyo ilidumu kwa miaka minne. Baadaye, Habtemariam alianza kufanya kazi na Kikundi cha Musiki ya Universal. Mwaka 2011, Habtemariam aliitwa Makamu wa Rais Mwandamizi wa rekodi ya Motown. Yeye alifanyika kazi na wanamuziki kama Stevie Wonder, Erykah Badu, Ne-Yo, Kem, BJ the Chicago Kid, Stacey Barthe, na zaidi. Billboard iliongeza Habtemariam mpaka wote orodha ya 30 chini ya 30 na orodha ya 40 chini ya 40. Mwaka 2013, jarida la Mwanadishi ya Hollywood “Wanamke Katika Musiki” na Jarida la Variety waliongeza Habtemariam mpaka orodha kifahari iliitwa orodha ya athari za wanawake. Mwaka 2014, Habtemariam alikuzwa mpaka Rais wa Rekodi ya Motown na mwaka 2021 yeye bado ni rais.

Habtemariam alipokuwa na miaka 16, yeye aliandika kiandiko mpaka Sylvia Rhone. Yeye alikuwa na kushangaa ukweli kwamba mwanamke mweusi alikuwa mwenyekiti wa lebo kuu ya kurekodi. Wakati wa Habtemariam alikuwa mkuu ya rekodi, alipokea kiandiko kama kama hicho. Shibaki, mwanafunzi wa miaka 16 aliyejiunga na programu ya muziki ya Bonus Tracks, aliandika kuhusu jinsi mwanamke mweusi katika nafasi ya nguvu alivyokuwa akiwashawishi wanafunzi wachanga wa rangi.

Wakati alipofanya kazi katik LaFace, Habtemariam aliwaona wanamke katika nafasi ya nguvu nayeye alisema kwamba walimshawishi kusaidia wanamke vijana ili wakuje katika nafasi za nguvu. "Nilisikia watu wakisema," Oh, amepata kazi hiyo kwa sababu tu yeye ni mwanamke mweusi na wanajaribu tu kufunika punda wao, "anasema Habtemariam. “Sawa, poa. Hata ikiwa ndivyo ilivyokuwa, ni juu yangu. Je! Nitafanya nini ili kuathiri na kuwahakikishia watu wengine kupata fursa za aina hii baadaye? Isitoshe, ninapenda kuwaonyesha watu makosa, ” aliongeza Habtemariam. Yeye anawataka wanamke vijana kufanikiwa na alisema na msaada wa familia na jamii, wanawake wa rangi wanaweza kubadilisha mwelekeo wao kuwa sehemu muhimu za tasnia.